![]() |
| Diamond tayari kupanda Chopper |
![]() |
| Diamond akiwa na Rubani wake wakielekea kwenye chopper |
![]() |
| Akitoa saluti kabla ya kupasua anga. |
![]() |
| Akipiga sala kabla ya chopper kupaa hewani |
![]() |
| Chopper ikaribia kutua |
![]() |
| Kiota cha burudani cha DarLive kwa muonekano wa juu, maelfu ya mashabiki wakishubiri raisi wa wasafi atue |
![]() |
| Akitoa saluti kwa rubani wake baada ya kutua salama. |
![]() |
| DarLive ikiwa full. |
![]() |
| Diamond Platnumz akiwa kwa stage |









No comments:
Post a Comment