SIZE 8 & HUSSEIN MACHOZI |
SIZE 8 NA HUSSEIN MACHOZI NI WACHUMBA?
Uvumi unadai kuwa sababu kuu iliyomfanya mwanamziki wa bongo
Flava Hussein Machozi kuhamia Kenya ni kipusa mwanamziki wa hapa nchini Linet
aka Size 8.
Hussein anadai amepata mwanamke aliyekuwa akimtafuta kwa mda
mrefu maishani mwake na simwengine bali kipusa huyu aliyeteka taifa na kibao
chake “Nawapa Vidonge”.
Hussein akana madai kwamba ameolewa na Size 8 na kufichua hivi
karibuni atampeleka kwao Singida, Manyoni Tanzania akamtambulishe kwa wazazi
wake.
Kwa mengi Zaidi usikose kuskiza "Show Nambari Moja Mkoani Pwani™" - "Kaya Flavaz®" ndani ya RADIOKAYA 93.1Fm Msa 99.7Mlnd - Kitovu Cha Umoja Wa Pwani ™.9AM - PM. MON-FRI
No comments:
Post a Comment