Z ANTO |
Msanii wa mziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Z Anto afichua kuwa amejenga nyumba mbili kutokana na mapato yake ya kimziki.
Akifichua haya, Z Anto asema moja ya nyumba hizo imemgharimu kiwango kisichopungua milioni 45 hela za Tanzania, ambazo ni sawia na shilingi 250,000/=
Z Anto asema kwa sasa nyumba hiyo imekamilika na ameipangisha, huku akiendelea na ujenzi wa nyumba ya pili.
Kwa mengi Zaidi usikose kuskiza "Show Nambari Moja Mkoani Pwani™" - "Kaya Flavaz®" ndani ya RADIOKAYA 93.1Fm Msa 99.7Mlnd - Kitovu Cha Umoja Wa Pwani ™.9AM - PM. MON-FRI
No comments:
Post a Comment