Mwanadada aliyeibukia kwenye shindano la Bongo Star Search, Baby Madaha, ajiunga rasmi na Kundi la TMK Wanaume Halisi linaongozwa na Juma Kassim Ally Kiroboro ‘Sir Nature’.
Akithibitisha, Baby Madaha asema kuwa mwaka huu ameamua kujipanga vyema zaidi ndiyo maana ameungana na TMK Wanaume Halisi.
Kwa upande wa Nature afichua kuwa kwa sasa Baby Madaha ndiye first lady wa kundi la TMK Wanaume Halisi.
“Tumemchukua kwa sababu anaweza kazi” alisema Juma Nature.
Kwa mengi Zaidi usikose kumskiza Sista Shaniz a.k.a
Anti-Virus katika "Show Nambari Moja Mkoani Pwani™" - "Kaya
Flavaz®" ndani ya RADIOKAYA 93.1Fm Msa 99.7Mlnd - "Kitovu Cha Umoja
Wa Pwani ™.
No comments:
Post a Comment