MR. ARUDIA
STYLE YAKE YA KUIMBA.
Msanii wa Bongo Flava Mr.
Blue a.k.a Byser, afichua kuwa anajaribu kubadilisha style ya muziki anayofanya
kutoka kuimba hadi kurap.
Mr. Blue
asema anatamani sana kurudi kwenye style yake ya zamani ambayo ndio iliyomtoa katika ulimwengu wa muziki.
Kusistiza
hatua yake Mr. Blue afichua kuwa hivi
karibuni atakua ana’release wimbo mpya ambao utaweka wazi style yake mpya.
“Sihitaji kuimba kwa sasa kwa sababu najua
style ambayo awali iliniweka juu kwenye chart, mashabiki wangu wataona utofauti
wangu katika ngoma mpya ambayo itakuwa hewani soon,” alisema.
Kwa mengi Zaidi usikose kumskiza Sista Shaniz a.k.a
Anti-Virus katika "Show Nambari Moja Mkoani Pwani™" - "Kaya
Flavaz®" ndani ya RADIOKAYA 93.1Fm Msa 99.7Mlnd - "Kitovu Cha Umoja
Wa Pwani ™.
No comments:
Post a Comment