Msanii mkali nchini Uganda Jose Chameleone amefungua kampuni
mpya ya simu za rununu.
Inaripotiwa kwamba Chameleone anaagiza simu za rununu kutoka
nchini China na atakua anazisambaza nchini Uganda.
Kulingana na habari kutoka
nchini Uganda simu hizo ambazo zitaitwa kwa jina “Chameleone Phone” zitakuwa na
rangi tofauti tofauti mithili ya kinyonga.
Msanii huyo afichua mauzo ya simu hizo za “Chameleone”
yanatarajiwa kuanza mwezi wa Aprili
No comments:
Post a Comment