BABY MADAHA |
BABY MADAHA AJIPA NA KIFUA CHA NAMELESS
NYOTA wa muziki anayetingisha pia kwenye anga la filamu za
Kibongo, Baby Joseph Madaha (pichani) amefunguka kuwa nafasi aliyopewa ya kukilalia
kifua cha mwanamuziki, David Mathenge ‘Nameless’ alipozuru Bongo hivi
karibuni, imemfanya achizike na kuikumbuka hadi leo.
Baby Madaha afichua kuwa walipeana mda wa kutosha kiasi
ambacho kinamfanya amkumbuke Nameless.
“ninawasiliana naye kwa mtandao wa Facebook kwa kweli
nilijisikia freshi sana wakati nilipokilalia kifua chake pale
jukwaani,”
Hata hivyo, Baby Madaha asema uhusiano wake na Nameless
ni wakawaida wala haujavuka…mpaka.
No comments:
Post a Comment