Kaya Flavaz

Kwa Uhondo Wa Habari Za Sanaa Ya Mombasani.

Friday, March 16, 2012

KLEANHEART ACHILIA VIDEO YA WIMBO "CHEMCHEM ZA KISANII"




KLEANHEART
KLEANHEART ACHILIA VIDEO MPYA.

Siku chache baada ya msanii mkali kutoka Malindi(Choclate City) Kleanheart kuachilia wimbo wake mpya kwa jina "Chemchem Za Kisanii", msanii huyo a'release official video ya wimbo huo.

Kleanheart ambaye ni mmiliki wa kampuni ya Heartland Films iliyoko mjini Malindi afichua kuwa huu ndio mwanzo tu wa mabo mazuri kutoka kwake kama msanii.

Kleanheart pia afichua uwepo wa harakati za kuibua kundi la wasanii wakali kutoka mjini Malindi kupitia project ya "Starlent," ambayo inalenga kuinua wasanii wenye malengo ya kufanikiwa kimziki na kuuweka mji wa Malindi katika ramani ya mziki wa "Ngomapwani"



Kwa mengi Zaidi usikose kumskiza Sista Shaniz a.k.a Anti-Virus katika "Show Nambari Moja Mkoani Pwani™" - "Kaya Flavaz®" ndani ya RADIOKAYA 93.1Fm Msa 99.7Mlnd - "Kitovu Cha Umoja Wa Pwani ™.

No comments:

Post a Comment