NYOTA NDOGO |
NYOTA ACHILIA VIDEO YA WAIMBO WAKE "MOYO".
Msanii mkali wa kike kutoka Mombasa Nyota Ndogo anatarajiwa kuachilia video ya single yake inayojulikana kama "Moyo"baadaye leo jioni katika kipindi cha Mambo Mseto.
Akizungumza na Kaya Flavaz, Nyota ndogo asema video hiyo imechelewa kiasi lakini kwa sasa imekamilika na mashabiki wake wataiona kwa sana hivi karibuni.
Kwa mengi Zaidi usikose kumskiza Sista Shaniz a.k.a Anti-Virus katika "Show Nambari Moja Mkoani Pwani™" - "Kaya Flavaz®" ndani ya RADIOKAYA 93.1Fm Msa 99.7Mlnd - "Kitovu Cha Umoja Wa Pwani ™.
nyce!!!! lil Star!!!!
ReplyDelete