SHETTA |
SHETTA KUACHILIA WIMBO BAADA YA PASAKA
Msanii wa Bongo Flavaz anayetamba na nyimbo "Nimechokwa" pamoja na "Mdananda", Shetta, afichua kuwa anapanga kuachilia wimbo mpya baada ya Sikukuu ya Pasaka.
Shetta asema wimbo huo unajulikana kwa jina ‘Nidanganye danganye’ . na kitu kimekalika ambapo mda mchache baada ya wimbo huo kutoka mashabiki wake pia watapata kuiona video yake.
Hata hivyo msanii huyo alipoulizwa juu ya kutoa albamu kwa mwaka huu, alijibu kuwa “Naweza kutoa lakini kama unavyojua albamu hazima maslahi kabisa yani tunatoa basi tu,”.
Kwa mengi Zaidi usikose kumskiza Sista Shaniz a.k.a Anti-Virus katika "Show Nambari Moja Mkoani Pwani™" - "Kaya Flavaz®" ndani ya RADIOKAYA 93.1Fm Msa 99.7Mlnd - "Kitovu Cha Umoja Wa Pwani ™.
No comments:
Post a Comment