![]() |
Diamond tayari kupanda Chopper |
![]() |
Diamond akiwa na Rubani wake wakielekea kwenye chopper |
![]() |
Akitoa saluti kabla ya kupasua anga. |
![]() |
Akipiga sala kabla ya chopper kupaa hewani |
![]() |
Chopper ikaribia kutua |
![]() |
Kiota cha burudani cha DarLive kwa muonekano wa juu, maelfu ya mashabiki wakishubiri raisi wa wasafi atue |
![]() |
Akitoa saluti kwa rubani wake baada ya kutua salama. |
![]() |
DarLive ikiwa full. |
![]() |
Diamond Platnumz akiwa kwa stage |
No comments:
Post a Comment