Kaya Flavaz

Kwa Uhondo Wa Habari Za Sanaa Ya Mombasani.

Monday, June 18, 2012

OCTOPIZZO KUANZA BIASHARA YA CONDOM:


OCTOPIZZO
OCTOPIZZO ANAPANIA KUANZISHA “BRAND” YA CONDOM:
Msanii chipkizi jijini Nairobi anayetamba kwa sasa kwa jina Octopizzo afichua kuwa anamipango ya ku’launch ‘brand’ yake ya aina ya ‘Condom’ nchini.

Katika mahojiano na kitupo kimoja cha TV jijini Nairobi, Octopizzo asema ‘brand’ yake ya ‘condom’ itakua na ‘condom’ nne katika ‘Pack’ moja ‘instead ‘ya tatu kama ‘brand’ zegine za ‘condom’ nchini.(Duh!!!)
CONDOM
Hatua ya msanii huyu haitakuwa geni katika ulimwengu wa mziki wa kizazi kipya, kwani kuna wasanii wakubwa ulimwenguni ambao wameanzisha biashara ambazo haziambatani na mziki wao.

Mfano 50cent anakampuni ya maji ya ‘Vitamins’ huku msanii kama ‘Jay Z’ mbali na nguo akimiliki hisa katika klabu ya ‘New York Mets’  ya mchezo wa vikapu nchini Marekani.

Je ndoto hizi zitatimia?

Kwa mengi Zaidi usikose kuskiza "Show Nambari Moja Mkoani Pwani™" - "Kaya Flavaz®" ndani ya RADIOKAYA 93.1Fm Msa 99.7Mlnd - "Kitovu Cha Umoja Wa Pwani ™.
9AM - 1PM      (MON - FRI)

No comments:

Post a Comment